Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Machinjio hapa hapa
Basi nitumie li namba nikurushie liten saiv baby mama[emoji23][emoji23] yaani mm nikufuate!
Duh. Hope sijachelewa nimewah aiseeNasemaje mazembe ikishinda nagawa number kwa wanajamii wote
This is Simbaaaaaa!!..
Hata 5 ni namba agawe kingine.
Kampe Bashite lepwelepwe..mikia mwenzakoNa kisu kiwe kikali kisiwe butu πππ endelea kukinoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]namba tunazo, gawa kingine