Moja bilaMzee utakuwa matokeo tayari unayo [emoji23][emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39]Nasemaje mazembe ikishinda nagawa number kwa wanajamii wote
This is Simbaaaaaa!!..
[emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha hii comment nai sevu; ole wako ubadike kama yule jamaa aliyemuweka mkewe
Tupia kapicha kwanza,
Ili tuone kama namba hiyo ni dili au itatujazia tu namba kwenye phone memory ya simu zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si hiyo kwa avatar mkuu
Mkuu wengine tunaanzaga kuangalia katikati ya mwili halafu reception baadae
Ikishindikana hapa tuma hata PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofaa yangu usisahau ππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
weka picha tuyaoneAhadi yangu ipo pale pale kama nlivyotoa week iliyopita. Ikiwa simba leo itashinda nitaponda ponda Mapumbu yangu kwa nyundo mpaka yawe uji uji halafu niyakojoe.
πππππ mkuu siwezi kufa peke yangu