Simba leo itafanya kweli tu ila yanga mhhhh!

Simba leo itafanya kweli tu ila yanga mhhhh!

King Crazzy

Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
11
Reaction score
2
Leo ni zile mechi za kimataifa ambazo zitazechwa na vigogo vyetu vya soka hapa nchini Tanzania. Yanga itakuwa nyumbani kucheza na Zamalek ya Misri katika kombe la Klabu Bingwa wakati simba itakuwa ugenini huko Rwanda kucheza na Kiyovu. Eee bwana historia haichezi lakini yanga wacheze kama jihadi vile maana zamaleki ni noma simba ina nafsi ya kufanya kweli lakin nao pia wasibweteke. Nawatakia kila lakheri
 
Back
Top Bottom