Simba leo kunani?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Tumeona mwalimu amefanya rotation katika kikosi.

Hata hivyo inaelekea kikosi hiki kimeshindwa kufanya yanayotarajiwa.

Tatizo ni nini?
 
Tafuteni sababu tena, si mlikuwa mnasema hamchezeshi Kagele leo kaanza, naombea mfungwe ama mtoe droo
 
Tumeona mwalimu amefanya rotation katika kikosi.
Hata hivyo inaelekea kikosi hiki kimeshindwa kufanya yanayotarajiwa.
Tatizo ni nini?
Kwa kweli inaelekea kuna tatizo kubwa na linapaswa lipatiwe ufumbuzi. Hii Simba hata ifanyiwe rotation kiasi gani, haipaswi kushinda kwa bao mbili tu, ni chache mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…