Simba leo mmenikosha sanaaaaa kwa kumsajili Kevin Kijiri, Simba Nguvu Moja

Simba leo mmenikosha sanaaaaa kwa kumsajili Kevin Kijiri, Simba Nguvu Moja

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Moja ya mabeki bora kabisa upande wa kulia kwa sasa ni Kevin Kijiri, hii mbavu ya kulia sio ya kawaida.

Yaani siku hyo na Utopolo kikosi kitakuwa hivi kudadeki.

Kipa Ayoub Lakred
Kulia Kevin Kijiri
Kushoto Valentine
Four Che Malone
Sentahafu Chamou Karaboue
Six Augustine Okajepha
Winga Joshua Mutale
Nane Debora Mavambo
Tisa Fredy Michael Fungafunga au Steven Mukwala
Kumi Jeans Charles Ahoua
Kushoto Kibbi Dennis.

Benchi

Ngoma, Mpanzu, Awesu.

*****, kama Utopolo mnadhani sasa hivi kuna kuroga na kutuzidi kete, haipo hiyo.

Simba Nguvu Moja.
 
Sawa sawa utakapo pigwa 7 usimlaumu mangungu Cc ephen_
20240712_150301.jpg
 
Moja ya mabeki bora kabisa upande wa kulia kwa sasa ni Kevin Kijiri, hii mbavu ya kulia sio ya kawaida.

Yaani siku hyo na Utopolo kikosi kitakuwa hivi kudadeki.

Kipa Ayoub Lakred
Kulia Kevin Kijiri
Kushoto Valentine
Four Che Malone
Sentahafu Chamou Karaboue
Six Augustine Okajepha
Winga Joshua Mutale
Nane Debora Mavambo
Tisa Fredy Michael Fungafunga au Steven Mukwala
Kumi Jeans Charles Ahoua
Kushoto Kibbi Dennis.

Benchi

Ngoma, Mpanzu, Awesu.

*****, kama Utopolo mnadhani sasa hivi kuna kuroga na kutuzidi kete, haipo hiyo.

Simba Nguvu Moja.
Hamna timu humo.
 
Inasemekana Magori yupo Kongo huko kukutana na viongozi wa AS Vita - nimeitoa kwa Micky Junior
Huyo si alikuwa Chamazi kwenye kipindi cha sport Am leo asubuhi au Magori yupi? Kweli aliewaita mbumbumbu anastahili kujengewa sanamu!
 
Hata msimu uliopita tambo zilianza kabla ya wachezaji hamjawaona uwanjani ila kilichotokea baadae ni lawama tu kwa Mangungu na Try again.
Hata hiyo ya mwaka jana tumekuja kugundua mlisaidiwa na maduka yenu ambayo mmeamua kuyasajili kama kulipa fadhira.

Na derby ya ngao ya jamii mwaka huu ndiyo itakayofanya Aucho , chama na Diara waseme umri wao halisi.
 
Mpaka sasa Simba ina timu au ina wachezaji? Mmerundika tu wachezaji ila timu bado hamna, sasa sijui hizi tambo mnazitoa wapi wakati ndio kwanza mnatengeneza timu
 
Back
Top Bottom