Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Jamaa hatari haooo.Sawa sawa utakapo pigwa 7 usimlaumu mangungu Cc ephen_ View attachment 3040383
Naunga mkono hojaJamaa hatari haooo.
Hamna timu humo.Moja ya mabeki bora kabisa upande wa kulia kwa sasa ni Kevin Kijiri, hii mbavu ya kulia sio ya kawaida.
Yaani siku hyo na Utopolo kikosi kitakuwa hivi kudadeki.
Kipa Ayoub Lakred
Kulia Kevin Kijiri
Kushoto Valentine
Four Che Malone
Sentahafu Chamou Karaboue
Six Augustine Okajepha
Winga Joshua Mutale
Nane Debora Mavambo
Tisa Fredy Michael Fungafunga au Steven Mukwala
Kumi Jeans Charles Ahoua
Kushoto Kibbi Dennis.
Benchi
Ngoma, Mpanzu, Awesu.
*****, kama Utopolo mnadhani sasa hivi kuna kuroga na kutuzidi kete, haipo hiyo.
Simba Nguvu Moja.
Inasemekana Magori yupo Kongo huko kukutana na viongozi wa AS Vita - nimeitoa kwa Micky JuniorHakuna winga wa kumweka benchi mpanzu, sema ndo hivyo tena tushamkosa kwa ubahili wa viongozi kusajili wachezaji huru tu.
Hivi Ile simulizi yako ya uchawi ulimalizia?Hakuna winga wa kumweka benchi mpanzu, sema ndo hivyo tena tushamkosa kwa ubahili wa viongozi kusajili wachezaji huru tu.
Husahau?Hivi Ile simulizi yako ya uchawi ulimalizia?
Simulizi niliipenda wewe na babu yako ila ukaingia mitini!Husahau?
Huyo si alikuwa Chamazi kwenye kipindi cha sport Am leo asubuhi au Magori yupi? Kweli aliewaita mbumbumbu anastahili kujengewa sanamu!Inasemekana Magori yupo Kongo huko kukutana na viongozi wa AS Vita - nimeitoa kwa Micky Junior
Hata hiyo ya mwaka jana tumekuja kugundua mlisaidiwa na maduka yenu ambayo mmeamua kuyasajili kama kulipa fadhira.Hata msimu uliopita tambo zilianza kabla ya wachezaji hamjawaona uwanjani ila kilichotokea baadae ni lawama tu kwa Mangungu na Try again.
Mpaka sasa Simba ina timu au ina wachezaji? Mmerundika tu wachezaji ila timu bado hamna, sasa sijui hizi tambo mnazitoa wapi wakati ndio kwanza mnatengeneza timuHata hiyo ya mwaka jana tumekuja kugundua mlisaidiwa na maduka yenu ambayo mmeamua kuyasajili kama kulipa fadhira.
Na derby ya ngao ya jamii mwaka huu ndiyo itakayofanya Aucho , chama na Diara waseme umri wao halisi.
Uandishi nikazi ngumu sana, majuqumu yamekuwa mengi mno.Simulizi niliipenda wewe na babu yako ila ukaingia mitini!