idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Baada ya mpira kuisha leo wachezaji wa Simba wameonekana wakiomba viatu kwa kubembeleza kwa wachezaji wa Sevilla.
Simba ni klabu inayojinasibu kama klabu tajiri Tanzania na imejitosheleza lakini ajabu wachezaji wao wamekuwa ombaomba wa viatu.
Sasa uwekezaji wa Mo uko wapi ikiwa Wachezaji wenu wanakuwa ombaomba tena hadharani kwenye vyombo vya habari vya kimataifa huku sehemu kubwa ya dunia ikishuhudia.
Simba ituombe radhi watanzania kwa aibu hii.......