Ni Salamba, hawa si matajiri jamaniπππpaschal wawa amenichekesha sana alipokuwa anabembeleza apewe viatu
Umewahi kuona mtu anabadirishana viatu au kuomba viatu?Iwe iwavyo weye ndo mshamba. Wachezaji hupeana hadi Tshirts zao kama kumbukumbu kuwa amewahi cheza na timu kubwa sio kwamba ati hawana viatu
ππππSasa hawa ni zaidi ya ombaomba..!
Ahaa! Yaani wamepewa boda boda na marupurupu kibao wakose hela ya viatu? huenda wanataka viatu kama kumbukumbu tu!Baada ya mpira kuisha leo wachezaji wa Simba wameonekana wakiomba viatu kwa kubembeleza kwa wachezaji wa Sevilla.
Simba ni klabu inayojinasibu kama klabu tajiri Tanzania na imejitosheleza lakini ajabu wachezaji wao wamekuwa ombaomba wa viatu.
Sasa uwekezaji wa Mo uko wapi ikiwa Wachezaji wenu wanakuwa ombaomba tena hadharani kwenye vyombo vya habari vya kimataifa huku sehemu kubwa ya dunia ikishuhudia.
Simba ituombe radhi watanzania kwa aibu hii.
Ungekuwa ulimsikia Mo jana usingeandika huu utumbo hapandicho Mlichobakiza hicho.
Si account za bank Wala za simu zote zinasoma 0 balance.
Viongozi wenu wameamua kuwaletea mchango "MKUBWA KULIKO"
Siku hyo mtakamuliwa hadi nauli.
By the way ALIYE NACHO UONGEZEWA.
yanga kaongezewa nini?