Yametikia kwa kadi nyekundu na penaltiKila kitu vimewekwa sawa, waamuzi, makocha wa timu pinzani na baadhi ya wachezaji wa timu pinzani wameshawekwa sawa kazi yetu leo ni ushindi mnono huyo Utopolo atajuta.
Kadi Nyekundu itatolewa kwa mchezaji/wachezaji wa timu pinzani iwapo wataonyesha hasira ama kufanya rafu inayohitaji kadi ya njano. Tutapewa penalti na goli/magoli tutakayofungwa yatakataliwa na refa.
View attachment 3241674
UBAYA UBWELA
Mchezo ulikuwa mzuri. Ila kama ilivyo kawaida kwenye mechi zenu; mwamuzi ameharibu mchezo. Na nitashangaa kama hatafunguwa kwa madudu yake aliyofanya leo.Ulijuajee mtaniii..
Ila si umeona jinsi ilikua ngumu kupenya kwny ukuta wa namungo..mpk faulo.m zikatokea...
Kafanya madudu gani?niambie ni tukio lipi alifanya maamuzi mabaya?Mchezo ulikuwa mzuri. Ila kama ilivyo kawaida kwenye mechi zenu; mwamuzi ameharibu mchezo. Na nitashangaa kama hatafunguwa kwa madudu yake aliyofanya leo.
Alikuwa anaipendelea wazi wazi Simba kwenye maamuzi yake. Mara kadhaa wachezaji wa Namungo walipochezewa rafu, alipotezea! Halafu wakiguswa hata kidogo tu wachezaji wa Simba alipuliza filimbi ya na kuwapa faulo.Kafanya madudu gani?niambie ni tukio lipi alifanya maamuzi mabaya?
Mechi ya kali na mwamuzi aliyefanya vizuri kwa huu mwezi ni Arajiga mechi ya JKT vs Yanga. Hakuna mchezaji hata mmoja aliyelalamika,wala benchi ya ufundi. Lakini mechi zingine zote lawama zilikuwa nyingi.Alikuwa anaipendelea wazi wazi Simba kwenye maamuzi yake. Mara kadhaa wachezaji wa Namungo walipochezewa rafu, alipotezea! Halafu wakiguswa hata kidogo tu wachezaji wa Simba alipuliza filimbi ya na kuwapa faulo.
Jambo hili liliwatoa Namungo mchezoni kwa sababu waliamini mwamuzi anaipendelea timu pinzani! Penati ya kwanza ilikuwa ni ya kujiangusha! Kadi nyekundu haikueleweka ilitolewa kwa sababu gani!
All in all, binafsi ninachukizwa sana na waamuzi wenye maamuzi ya hovyo. Angalia mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na SBS! Hakuna mchezaji/mtu aliyemlalamikia! Kwa sababu alichezesha kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu.
Arajiga kwa sasa hana mpinzani. Na ndicho ninachotamani kukiona kwa waamuzi wetu, kwenye ligi yetu. Haya mambo mambo ya kuchezesha hovyo, yanaziathiri sana timu ndogo pamoja na wachezaji wao.Mechi ya kali na mwamuzi aliyefanya vizuri kwa huu mwezi ni Arajiga mechi ya JKT vs Yanga. Hakuna mchezaji hata mmoja aliyelalamika,wala benchi ya ufundi. Lakini mechi zingine zote lawama zilikuwa nyingi.
Hatuwezi kuepuka hili Simba na Yanga wanapocheza na wengine,waamuzi wamekuwa mashabiki wa hizi timu, sidhani kama hili jambo litatatulika tena kwenye ligi yetuArajiga kwa sasa hana mpinzani. Na ndicho ninachotamani kukiona kwa waamuzi wetu, kwenye ligi yetu. Haya mambo mambo ya kuchezesha hovyo, yanaziathiri sana timu ndogo pamoja na wachezaji wao.
Hawezi fungiwa...ktk waamuzi bora basi na huyu yupo...Mchezo ulikuwa mzuri. Ila kama ilivyo kawaida kwenye mechi zenu; mwamuzi ameharibu mchezo. Na nitashangaa kama hatafunguwa kwa madudu yake aliyofanya leo.