Simba leo wakifungwa watakuja na lipi?

Hebu tuanze kubashiri kauli za Simba baada ya kupokea kichapo leo.

1. Kocha ana muda mfupi
2. Hata nyie Yanga mna point 2.
3 .Kipa ni tatizo.

Ongeza nyingine.
kwann wafungwe sasa wakati bila biliani limeshaanza kurudiiii...
 
Leo Timu Kubwa Zinacheza Bila Nogwa
 
Hebu tuanze kubashiri kauli za Simba baada ya kupokea kichapo leo.

1. Kocha ana muda mfupi
2. Hata nyie Yanga mna point 2.
3 .Kipa ni tatizo.

Ongeza nyingine.
Wanasimba hawatakuwa na mashaka yeyoye juu ya matokeo ya leo,uzuri wake wana simba wana akili wanajua kwamba leo Wydad atakuwa mbogo uwanjani baada ya kukosa poit zaidi ya michezo miwili.

Yanga wenye akili wawili ndio maana wao hata ukiwaambia masandawana wabovu wanakubali
 
Mashabiki wengi wa simba wana gubu sana. Wakifungwa utawasikia "hatumtaki Mangungu"
 
Hebu tuanze kubashiri kauli za Simba baada ya kupokea kichapo leo.

1. Kocha ana muda mfupi
2. Hata nyie Yanga mna point 2.
3 .Kipa ni tatizo.

Ongeza nyingine.
Kwani nyie kwa nini jana mlidondosha point 2 muhimu kule Ghana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…