Taarifa zinaonesha tayari ana Leseni A ya CAF. Kwa hiyo kama vipi apewe timu. Na kama haiwezekani, ni wakati wake sasa na yeye ajiongeze kwa kutafuta timu ili awe kocha mkuu.Ndio ila nahisi leseni sijui ndo hana hasa kwenye game za kimataifa ila ni kocha mzuri