Wanajamii, nimeona hii video, nikabaki sina mbavu. Huwezi amini, Nyati wameamua kuungana kudai haki zao dhidi ya simba. Funny enough watanzania tunanyang'anywa haki zetu kila kukicha bado tunang'aa macho tu. Hata wanyama wa porini wanatushinda.
[ame="http://www.metacafe.com/watch/4323011/lion_crocodile_vs_bufallow/"]Lion, Crocodile Vs Bufallow - Video[/ame]