Simba mara hii wameonesha wivu wa wazi wazi kwa Yanga

Waiseme tu vibaya siku Zote Ila sisi Tushaipenda Timu yetu.. wapunguze mchecheto
 
Kimpira azam walimfunga yanga japo kimatokeo walidraw, kama una akili za kutosha hutabisha katika hili

Kimpira yanga alidraw na geita gold lakin kimatokeo yanga alishinda, kama una akili za kutosha hutabisha katika hili

Kwa mifano hiyo miwili, kaa, tulia jifikirie ni kwanini jicho la kimpira linatofutiana na matokeo yaliyopatikana?

Hapo ndipo utagundua kuwa ushindi au sare za yanga ndani yake kuna walakini wa kimpira na hapo mtaendelea kuumia linapokuja suala la michuano ambayo walakini wenu huo haufui dfu
 
Kwani hao Simba Queen Fc unaowalinganisha na Simba SC si Simba pia!!!???? Utopwa kuna namna hamko sawa vichwani.
 
Muosha huoshwa, nyie si ndio mlikuwa mnapokea watu airport?
Hivi kupokea watu Airport ni kosa? Au ni mara ya kwanza kufanyika? Mbona mnaifanya ionekane kama kitu cha ajabu sana?

Hili swala mbona lipo karibu Dunia nzima hasa kwa timu pinzani.
Misimu mi 2 nyuma mamelod alipokelewa Egypt pale na Zamalek.
 
Kimpira Msimu uliopita Simba alitoa sare na Geita pale Kwa Mkapa Kwa goli la kichwa la George mpole lililo kataliwa na refa bila Sababu, kimpira Azam walinyimwa ushindi na Penalty baada us Kibu kuudaka mpira ndani ya 18 ya Simba Kwa kuogopa kupigwa kanzu.
Kimpira Tanzania prison alitoka sare na Simba kwakua goli la Simba alilofunga Mkude mpira ulikua umesha toka nje kabla ya Kibu ku irudisha ndani na Mfungaji(Mkude) kunufaika na tukio ilo.
Yapo mengi ukitaka ntakufukulia
 
Kl

Umekula mihogo lakini?
 
Yaani uliposema Yanga ndiyo team bora Africa mashariki na kati alafu hukutoa references ku support hoja yako ndipo nikaona mwaka huu mashabiki wa Yanga mtapata wazimu.
 
Timu iliyokosea usajili ingekuwa makundi CAF..ila sishangai kuna mihogo mingine michungu inalevya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi ndivyo akili zenu zilivyo na ndo uwezo wakufikiri umeishia hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashabiki wa utopolo na mihogo fc kwa sasa ni wa kuonewa huruma maana moja haikai mbili haisimami hapo kwao. Wanatafuta mada za kujifariji.
 
Mwiko unakuja huko tunisia
 
Attachments

  • 20221106_213922.jpg
    37.1 KB · Views: 2
Hivi unapata wapi guts za kujifananisha na Simba Sports Club?

Timu pekee inayofanya vizuri kuanzia timu yake ya Wanawake na ya Wanaume?

Mara ya mwisho Yanga kucheza Makundi ilikuwa bado naishi Kwa Wazazi hadi Sasa naishi kwangu na Wajukuu nimepata 🤪
 
Hivi kupokea watu Airport ni kosa? Au ni mara ya kwanza kufanyika? Mbona mnaifanya ionekane kama kitu cha ajabu sana?

Hili swala mbona lipo karibu Dunia nzima hasa kwa timu pinzani.
Misimu mi 2 nyuma mamelod alipokelewa Egypt pale na Zamalek.
sasa ntoa uzi analalamika nini?
 
Kikosi chenu ni fake , hakuna muunganiko.
Ushindi wenu ni wa kimagumashi tu wala hakuna maajabu.
Tigopesa Fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…