Simba mdomoni mwa Wazambia.

Simba mdomoni mwa Wazambia.

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Ni kwamba hapa Simba mwendo wameumaliza.

Ni wazi CAF hawataki kuiona Simba mwaka huu kwenye makundi.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜œπŸ˜œπŸƒπŸƒ

FB_IMG_1635255345652.jpg
 
Kwa Simba hii mbovu hakuna namna ya kuvuka kigingi hiki.

Zambia wapo juu kimpira tofauti na Tanzania, tena Wazambia wangekuwa na matajiri kama Bongo kwenye mpira haya makombe ya CAF wangekuwa wanajibebea tu.
Eti kigingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Simba ya msimu huu ni wali boko boko! Hakuna cha biriani wala pirau!! Timu imejaa wachezaji wazee wenye uchovu mwingi uwanjani, na vitoto vidogo visivyo himili kabisa mikiki mikiki ndani ya dk 90!
 
Mara zote simba imekuwa ikiwafanya kitu mbaya wazambia.. hiyo timu hatutatumia nguvu sana kuvuka kama tulivyotumia kwa nkana
 
Kati ya Zambia na Botswana ipi ni nchi ya mpira?
Ww nae vp ww unaangalia nchi ipi yampir ndo ujue ubor wa timu fifa ranking huko anaongoz france lkn ukipelek timu tok lig ya ufrance pale laliga itapigwa kam timu ya watot wa mtaan
 
Back
Top Bottom