Simba mdomoni mwa Wazambia.

Kwa Simba hii mbovu hakuna namna ya kuvuka kigingi hiki.

Zambia wapo juu kimpira tofauti na Tanzania, tena Wazambia wangekuwa na matajiri kama Bongo kwenye mpira haya makombe ya CAF wangekuwa wanajibebea tu.
Eti kigingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Simba ya msimu huu ni wali boko boko! Hakuna cha biriani wala pirau!! Timu imejaa wachezaji wazee wenye uchovu mwingi uwanjani, na vitoto vidogo visivyo himili kabisa mikiki mikiki ndani ya dk 90!
 
Mara zote simba imekuwa ikiwafanya kitu mbaya wazambia.. hiyo timu hatutatumia nguvu sana kuvuka kama tulivyotumia kwa nkana
 
Kati ya Zambia na Botswana ipi ni nchi ya mpira?
Ww nae vp ww unaangalia nchi ipi yampir ndo ujue ubor wa timu fifa ranking huko anaongoz france lkn ukipelek timu tok lig ya ufrance pale laliga itapigwa kam timu ya watot wa mtaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…