I will be short
Simba since community shield Refa anawabeba tu . Magoli yote ya offside na penalty feki amna kelele.
Leo mechi na yanga mmebebwa sana. Mnapoteza Refa ndo tatizo.
Akili za makolo sijui zipo wapi? Football usipo kuwa fair . Uwezi jua quality yako.
Leo yanga Kanyimwa penalty, red card.
Simba penalty moja ya kibu denis.
In short Refa angekuwa fair mngekufa nyingi sana.
Simba acheni kuonga Marefa. Chezeni mpira.