Simba mjiandae na red card leo, Yanga itashinda na 2+ goals

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Tukielekea derby ya Simba na yanga
Nawaonya simba mcheze kwa nidhamu

Kadi nyekundu ya kigoma na udhaifu wa kupewa red kd Onyango leo refa anaingia na akili zenu one mistake mtasoma namba msiseme sijasema

Otherwise game nzito kipindi cha kwanza, cha pili yanga wanamaliza mchezo
Ft gg&3+ wale wazee wa kumtomasa muhindi hela hioi
F
 
Mie ni Simba.. Ila km wanavyosema sijui Yanga akifungwa leo ,Manarw anafukuzwa

Naona tutoke sare au simba tufungwe...

Manara aendelee kula mema ya nchi.
 
Hakuna kitu kama hicho!

Yanga anapigwa 2 nae anapata 1
 
Mie ni Simba.. Ila km wanavyosema sijui Yanga akifungwa leo ,Manarw anafukuzwa

Naona tutoke sare au simba tufungwe...

Manara aendelee kula mema ya nchi.
Si atabaki kuwa mwanachama mtiifu wa Yanga hata kama atafukuzwa au lakini hivi nasikia bado anayo kadi ya Simba ni kweli na kama ni kweli kwanini aendelee kuwa nayo ama ni ndumilakuwili?
 
K
Si atabaki kuwa mwanachama mtiifu wa Yanga hata kama atafukuzwa au lakini hivi nasikia bado anayo kadi ya Simba ni kweli na kama ni kweli kwanini aendelee kuwa nayo ama ni ndumilakuwili?
MREMA LYATO NGA ANAJUA RAHA ZA KADI KWANINI AZIRUDISHWI LEO ANAKULA MEMA YA NCHI HUEZI JUA DOGO ATAULA TENA SIMBA IPO SIKU
 
Uzoefu unaonyesha mnyama akipungua anashinda game,naomba utabiri wako uwe hvyohvyo
 
K

MREMA LYATO NGA ANAJUA RAHA ZA KADI KWANINI AZIRUDISHWI LEO ANAKULA MEMA YA NCHI HUEZI JUA DOGO ATAULA TENA SIMBA IPO SIKU
Kuna ile barua imepitapita mitandaoni kuwa ANAOMBA RADHI arudishwe Simba, je kuna ukweli wowote?
 
Mimi nimeota Sadio Kanoute kala umeme
 
Naunga mkono hoja
 
Si atabaki kuwa mwanachama mtiifu wa Yanga hata kama atafukuzwa au lakini hivi nasikia bado anayo kadi ya Simba ni kweli na kama ni kweli kwanini aendelee kuwa nayo ama ni ndumilakuwili?
Mchumia tumbo wa kawaida
 
Si atabaki kuwa mwanachama mtiifu wa Yanga hata kama atafukuzwa au lakini hivi nasikia bado anayo kadi ya Simba ni kweli na kama ni kweli kwanini aendelee kuwa nayo ama ni ndumilakuwili?
Yeye ni mwanachama na shabiki wa Simba na nimfanyakazi wa Yanga.
Kilichompeleka Yanga sio uanachama wala ushabiki ni kazi na anamkataba wa kazi sio wa uanachama wala ushabiki.
 
Kila la kheri yeyote atakaeshinda.
Kukiwa na red card kama mtoa mada unavyosema ni wazi ndumba ndio zimehusika kwenye matokeo, sio uwezo wa wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…