Simba mjifunze kwa Mzee Baba aliyekuwa na majigambo akaishia kuangukia pua, hata nyingi mnaweza kuangukia pua dakika za mwisho

Kwanini mnapenda kutupangia Uhuru wa kufurahi ,wewe Acha Yanga ikuue na Chadema yako
 
Wanapenda kututisha sana
 
So far Mikia a.k.a Manguruwe wamefanya vizuri. Huo ni ukweli. Lakini wawe humble in victory.
Wame guarantee timu nne mashindano ya CAF mwakani. Ni kitu kizuri lakini isiwe nyundo ya kabehi
 
So far Mikia a.k.a Manguruwe wamefanya vizuri. Huo ni ukweli. Lakini wawe humble in victory.
Wame guarantee timu nne mashindano ya CAF mwakani. Ni kitu kizuri lakini isiwe nyundo ya kabehi
Tumeshawafanyia mademu zetu mipango mwakani nao wapande ndege
 
Acha wivu fala wewe hv ni timu gan inayofanya vizur na wasifurahi au kujimwambafy acha upimbi mzee kaa kwa kutulia ww itakuw ni shabiki wa utopolo alaf mambo ya kufa mtu utafananishaje na soka!!?nahis majirani zako watakuwa wanakazi san
 

Hata wewe mtoa mada inawezekana kesho usiwepo hii haimaanisha usifurahie mafanikio unayopata leo!mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache!
 
Kwani tatizo nini,tusishangilie jamani? Yanga na CCM damudamu kiroho cha korosho
Hapana mkuu mi naona chadema na yanga ndo kurwa na doto kule kuna pingapinga political party huku kuna malalamiko fc
 
Tumwache ameprove kuwa hajui siasa na mpira nao haujui hao ndiyo wananchi wanoongozwa na yule bwana aliyepigwa ban. Kwa hii post yake jamaa kathibitisha maneno ya yule kocha mbelgiji kuwa jamaa ni........
 
Wewe jamaa,kaa ufahamu kuwa Roho mbaya sio nzuri,Km vipi na wewe shinda halafu ujigambe.
 
Mtoa mada kuna maumivu fulani unayapata ila unajifichia kwenye kutoa ushauri achana na simba [emoji881]yetu[emoji881] tuache tuvimbe nayo [emoji881]we baki hukohuko[emoji196][emoji196][emoji1657][emoji1657]
 
kwa hyo simba inafanya vizuri we unataka mashabiki tukae tunatia tia huruma kama nyinyi utopolo,,, nini maana ya kushabikia timu sasa kama ikishinda ni uzuni na ikifungwa pia uzuni
 

Kila kitu unataka kuleta siasa tu,umeona Jukwaa la Siasa halikutoshi kumsimanga Mwendazake unakuja na huku kupitia Simba uendeleze masimango yako,unaonaje kama ukienda kabisa Chato alipolala ukambagaze hadi hasira zako ziishe. Mwanaume mzima unakuwa na chuki tena na Mwendazake kama Mama Mjamzito[emoji15].Hebu tuache tufurahie ushindi wa Simba kwa raha zetu.
 
huo mfano hauna link. Sports and entertainment ni mambo ya kujivunia na swags. Hizi ni starehe,ni sawa na kumwambia mtu afike tu kileleni lakini asikojoeeeeeeeeee

Nimemshangaa sana,hapa tuna mitizamo tofauti Kisiasa lakini kwa Jukwaa hili utakuta ni kinyume kabisa,tunaotofautiana kule kwenye Siasa,kwa jukwaa hili unakuta tuko upande mmoja.Asante Mkuu kuliona hili,atuache tufurahie ushindi wa Simba yetu kwa amani.
 
Kha!!wewe mbona mfano wako hauendani?
Basi tuleteeni Mamelody na Esperance Tunis tukate mzizi wa fitna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…