Simba mjifunze kwa Mzee Baba aliyekuwa na majigambo akaishia kuangukia pua, hata nyingi mnaweza kuangukia pua dakika za mwisho

Ni kweli but mjue bado mko safarini
Shauri yako wewe furahi kila unapofurahishwa,maisha yenyewe yako wapi?
Je tusipofikia huko fainali tubaki kimya tu?
Hata hivyo Mimi Nina furaha mara mbili
Kwa nchi kuwa huru
Na ushindi wa Simba.
Wewe unatushauri tunune wakati tunaona magori yanaingia? Ngumu hiyo.
 
Kumbe na wewe ni wale wa matopeni, umefanya vizuri kuacha ushabiki utaishi kwa amani sana.
 
Ushauri mzuri sana
Hakuna kitu anateswa na wivu tu!! Eti siku hizi kspunguza ushabiki wa soka, sema utopolo hawakupi ubavu wa kusha imis soka!! Tunachozungumzia Ni kufika mbali kwenye mashindano!! Malengo ya mwaka huu Ni kufika nusu fainali!!
Tatizo utopolo wakiingia hatua ya makundi Ni lazima wavute mkia kwenye kundi!!
 
Reactions: Tui
Mkuu, endelea na siasa huku achana nako. Sio eneo lako.
ukiona mtu anadai kapunguza ushabiki ujue ni utopolo huyo.
 
Reactions: Tui
Kila mliloomba limebuma, mnaanza kuona simba wanajidai
N sawa katika utafutaji mtu mliyefahamiana (rafiki) katika umasikini anapofanikiwa we ukiwa katika hali ya njaa/umasikini hata akipita pasipo kukuona unaanza sema jamaa anajisikia na propaganda kibao kumbe sivyo ilivyo
Nnachokiona kutoka kwa ndugu muandishi ni kwamba ungependa simba washindwe kusheherekea ushindi walioupata na kufanikiwa kuongoza kundi lililoonekana gumu/kundi la kifo
 
Kha!!wewe mbona mfano wako hauendani?
Basi tuleteeni Mamelody na Esperance Tunis tukate mzizi wa fitna.
Huyu mtoa mada 'siasa' zimeharibu uwezo wake wa kupambanua mambo.
 
Huwa mnafungwa hivi hivi kwa kujiamini kwenu na kujikuza kupita kiasi.
Bingwa ni mmoja tu , sio simba pekee itaangukia pua ,ni simba na club nyingine 14 kati ya 16.. Hilo halituzuii sisi kufurahia , tulikua na melengo ya kufika robo tumefika , sasa tunaangalia tutapewa nani tulale nae mbele kwa mbele , tukutane nusu final
 
Draw ya mabingwa ni tarehe 30 April.Utopolo wanateseka. Nugaz alisema kweli rekodi itawekwa tena na Simba Jamaa yupo Uto kimaslahi.Tunaomjua Nugaza tunajua ni mnyama. Anaitwa Nugaza Juma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…