Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Kwa kipindi kirefu nimemfwatilia Gadiel kwa kweli hatoshi kwenye namba ya Shabalala, ni vyema viongozi watafuta mchezaji mzuri wa timu za ndani anakayeweza kuitendea haki hiyo namba, mbona wapo huko nje ya Simba.
Na ikikosekana basi msajiri kutoka nje tu iliekeweke kwani Shabalala naye ni binadamu atachoka jamani! Kumuhifadhi Gadiel Maiko ni bomu!
Senkyu kwa kunisikiliza 🙏
Na ikikosekana basi msajiri kutoka nje tu iliekeweke kwani Shabalala naye ni binadamu atachoka jamani! Kumuhifadhi Gadiel Maiko ni bomu!
Senkyu kwa kunisikiliza 🙏