Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Uyo dogo nakumbuka aliondokaga yanga kwa nyodo akiwachomesha mahindi viongozi wa usajili zikiwa zimebaki siku 2 dirisha lifungwe la usajili akaenda kusaini Makolo ikabidi yanga iende kusajili beki wa haraka haraka ambae akuwa kwenye mipango kabisa.Kwa kipindi kirefu nimemfwatilia Gadiel kwa kweli hatoshi kwenye nba ya Shambalala, nivyema viongozi watafuta mchezaji mzuri wa timu za ndani anakayeweza kuitendea haki hiyo namba, mbona wapo huko nje ya Simba. Na ikikosekana basi msajiri kutoka nje tyu iliekeweke..... kwani Shambalala nae ni binadamu atachoka jamani! Kumuhifadhi Gadiel Maicko ni bomu!
Senkyu kwa kunisikiliza 🙏
Mpare huyo, anatafuta pesa sijui kama zimemtosha ama bado!Uyo dogo nakumbuka aliondokaga yanga kwa nyodo akiwachomesha mahindi viongozi wa usajili zikiwa zimebaki siku 2 dirisha lifungwe la usajili akaenda kusaini Makolo ikabidi yanga iende kusajili beki wa haraka haraka ambae akuwa kwenye mipango kabisa, Naona ile laana inaendelea kumtafuna kiwango chake tokea ahamie simba kimekuwa ni cha ovyo ovyo tu na simba wakimtema awezi kusajiliwa na timu za yanga wala Azam maana uko kote aliharibu labda akasajiliwe na timu za mikoani uko
Simba walimsajili toka Azam uto kuweni na kumbukumbuUyo dogo nakumbuka aliondokaga yanga kwa nyodo akiwachomesha mahindi viongozi wa usajili zikiwa zimebaki siku 2 dirisha lifungwe la usajili akaenda kusaini Makolo ikabidi yanga iende kusajili beki wa haraka haraka ambae akuwa kwenye mipango kabisa, Naona ile laana inaendelea kumtafuna kiwango chake tokea ahamie simba kimekuwa ni cha ovyo ovyo tu na simba wakimtema awezi kusajiliwa na timu za yanga wala Azam maana uko kote aliharibu labda akasajiliwe na timu za mikoani uko
chamsingi umeelewa na kulewa... so haina aja ya kuulizaKumbe kuna mtu anaitwa"shambalala"huko ukoloni?
Watu mna siri sana
Simba haijawai kumiliki mchezaji anaeitwa Shambalala hilo jina labda lipo uko Ng'ombe fc
Mpotezee huyo chura fcSimba haijawai kumiliki mchezaji anaeitwa Shambalala hilo jina labda lipo uko Ng'ombe fc
Kolo hujui kitu ungenyamaza tu, Gadiel katoka Azam,akaenda Yanga ndiyo Kolo wakamsajiliSimba walimsajili toka Azam uto kuweni na kumbukumbu
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Kwa kipindi kirefu nimemfwatilia Gadiel kwa kweli hatoshi kwenye nba ya Shambalala, nivyema viongozi watafuta mchezaji mzuri wa timu za ndani anakayeweza kuitendea haki hiyo namba, mbona wapo huko nje ya Simba. Na ikikosekana basi msajiri kutoka nje tyu iliekeweke..... kwani Shambalala nae ni binadamu atachoka jamani! Kumuhifadhi Gadiel Maicko ni bomu!
Senkyu kwa kunisikiliza [emoji120]
We we ni kilaza tu fuatilia vitu uelewe sio unakurupuka Kama mjusi aliyebanwa na mlangoKolo hujui kitu ungenyamaza tu, Gadiel katoka Azam,akaenda Yanga ndiyo Kolo wakamsajili
Simba wamemchukua Gadiel kutoka Yanga baada ya kumaliza mkatabaWe we ni kilaza tu fuatilia vitu uelewe sio unakurupuka Kama mjusi aliyebanwa na mlango