Sitarajii Simba isajili mchezaji kama yule.
Narudia tena Leo,nilikuwa namwona akicheza na Simba anakuwa na hasira sana na mara nyingine kutaka kukabana na wachezaji wa Simba.
Hii ilikuwa ni chuki ya wazi na siamini kama itaisha lada utopolo
Sent from my Infinix X626 using
JamiiForums mobile app