Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chagueni rais mwingine kwanza jamaa ni haini aliua soka letu kipindi cha FAT
Kweli,chagua msanii akutawale kisanii.kuna signature moja hapa jf inasema "mitanzania ndivyo tulivyo"!
Fikiria huyu bwana kafungwa jera Ukonga na kila mtu kaona.
Mbali na masualu mengine, bado huyu jamaa kachaguliwa na Simba, kama hiyo haitoshi na Tabora wakampa ubunge!
...cha kukupa moyo hapa ni kuwa huyu jamaa anachaguliwa na wale 80% waliokataaga vyama mvingi kabla Mwalimu haja-intervine na kusema kuwa hawa 20% wanaotaka vyama vingi ndio wana akili!