Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 582
ondoa mafuvu ya kale hapa.Simba imewahi fika nusu fainali klabu bingwa afrika 1974 na fainali kombe la Caf 1993
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Simba imewahi fika nusu fainali klabu bingwa afrika 1974 na fainali kombe la Caf 1993
Kutoa posa si kuoa.ondoa mafuvu ya kale hapa.
Yawezekana lakini ndoo ya VPL haiendi Msimbazi.Huu mwaka unaonekana kuwa wa bahati kwa Yanga, lkn ndio mwaka utakaoingia ktk historia ya Yanga kutokutwaa hata kombe moja. Naweza nisieleweke now ila time will tell