Simba mnajiandaa na Zahera au As Vital

Simba mnajiandaa na Zahera au As Vital

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Nashangaa simba wanakazana na mwinyi Zahera na kumuhadaa tatizo mnadanganywa na msemaji wenu na mnajaa na kuanza kulipuka kama mabomu ya Mbagala leteni ushahidi pia tatizo liko wapi
 
Nashangaa simba wanakazana na mwinyi Zahera na kumuhadaa tatizo mnadanganywa na msemaji wenu na mnajaa na kuanza kulipuka kama mabomu ya Mbagala leteni ushahidi pia tatizo liko wapi
Kwani Manara na mashabiki ndio wanacheza? Hii nzuri, wachezaji wamewekwa kando sasa mashabiki wanadili na zahera. Off pressure kwa wachezaji.
 
Ati asipigiwe simu na yanga kisa as vita halafu yanga wanashangilia? Na kaikacha timu yake ya yanga hv hv, sababu zake sasa lol! Mbn chama aliwatoboa nkana wakati ni ndugu zake!
 
Back
Top Bottom