Kwani Manara na mashabiki ndio wanacheza? Hii nzuri, wachezaji wamewekwa kando sasa mashabiki wanadili na zahera. Off pressure kwa wachezaji.Nashangaa simba wanakazana na mwinyi Zahera na kumuhadaa tatizo mnadanganywa na msemaji wenu na mnajaa na kuanza kulipuka kama mabomu ya Mbagala leteni ushahidi pia tatizo liko wapi
Ili mwakani Ndala ishiriki mashindano ya ndani tu? Maana hakuna ndoo mtabeba msimu huu!
Ili mwakani Ndala ishiriki mashindano ya ndani tu? Maana hakuna ndoo mtabeba msimu huu!