Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Sielewi Hawa viongozi wa Simba wanakuwa wanafikiria nini vichwani mwao lakini nahisi pale Simba bado Kuna viongozi wapigaji sana!
Uyu jamaa anayetaka kusajiliwa Kama mshambuliaji ni mzigo mwingine unaenda kuletwa pale, ukiona vilabu vya kaskazini vinamuachia mchezaji kirahisi rahisi tu ujue keshakuwa na shida mahala!
Jamaa alisajiliwa na usm Alger ya Algeria akiwa moto lakini alivyofika kule kiwango kikadrop akawa anawekwa benchi ata alipokuwa akipewa nafasi alikuwa mzito Ile mbaya, kacheza game 12 za ligi kafunga goli 1, kacheza kombe la shirikisho game 9 alitoka patupu ata assist tu ilimshinda!
Sasa uyo ndio anasajiliwa kwa dola laki 2🤣🤣
Elia mpanzu ambaye alikuwa moto na akiwa vizuri kwenye current performance yake kwa sasa walishindwa kumsajili lakini wameona wamfate uyo ambae amfikii Elia mpanzu ata robo ya ufanisi uwanjani kwa sasa!
Na anakuja kwenye mazingira mapya ukiweka na performance yake mbovu kitachofata ni thank you kwenye dirisha dogo wakati huo wajanja washapiga 10% zao mengine mtajua wenyewe!