NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kimataifa inafahamika kuwa Robo ndiyo mwisho wa Mo Dewji FC, hii haina tofauti na mtoto kushangilia na kufanya sherehe kwa kuwa ameshika nafasi ya nne darasani miaka nne mfululuzo mtoto afanye sherehe kushangilia kushika nafasi ya nne huo ni upuuzi (ujuha). Mo Dewji FC wanapaswa kushangilia nusu, Fainali nk, lakini siyo kuingia robo.
Ligi ya ndani Nbcpl Mo Dewji FC wana hali mbaya sana NALIA NGWENA sikumbuki Mo Dewji FC walichukua kombe lini hii mbaya sana kwa timu kubwa Kama wao kukosa na kutopata hata kombe ili mashabiki wawe na furaha maana furaha ya mashabiki ni kombe.
Ukiondoa Ngao ya Jamii mashabiki wa Mo Dewji FC hawana cha kulingishia/kufurahia ndani ya kabati lao.