Simba mnatuleteaje CEO ambaye ni shabiki wa Yanga?

Simba mnatuleteaje CEO ambaye ni shabiki wa Yanga?

Bora wangenipa mimi so sad sijasomea mambo ya utawala nimesoma mavitu magumu ma engineering ni mwendo wa ku resolve tu force na ku intergrate na ku defferentiate.
 
Tutaaminije au umeamua kumsagia kunguni..weka picture yake akiwa amevaa jezi ya yanga au kadi..
 
Simba ijitathmini tena kuhusu huyu CEO mpya,haiwezekani shabiki wa Yanga aje kuwa CEO wa Simba,hatutaki mamluki kama alivyokuwa Manara,mbinu za kivita zinazojadiliwa Simba yeye anapeleka upande wa pili.

Huyu CEO aondolewe mapema kwa maslahi mapana ya timu.

Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda Sakuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu
CEO ni Cheo ingekuwa ni nafasi ya Mwenyekiti hapo sawa. Mwacheni bint apige kazi, mbona Ahmed Ali anafanya kazi yake vizuri tu
 
Back
Top Bottom