Simba mnatuleteaje CEO ambaye ni shabiki wa Yanga?

Bora wangenipa mimi so sad sijasomea mambo ya utawala nimesoma mavitu magumu ma engineering ni mwendo wa ku resolve tu force na ku intergrate na ku defferentiate.
 
Tutaaminije au umeamua kumsagia kunguni..weka picture yake akiwa amevaa jezi ya yanga au kadi..
 
CEO ni Cheo ingekuwa ni nafasi ya Mwenyekiti hapo sawa. Mwacheni bint apige kazi, mbona Ahmed Ali anafanya kazi yake vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…