mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible.
Mfano mechi ya marudiano na Al Ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9? Mechi za ndani ugenini Kama ya Ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita?
Sub zake ni za kukariri pili ni za hovyo, atamtoa chama na Fred ataingia onana na jobe. Atamtoa kapombe anaingia Mwenda atatoka kanute anaingia Onana.
Ili kujenga Simba mpya toa Benchika. Toa onana, Inonga, Fredy, Jobe, Babacar na Saidoo. Pia Karabaka, Feruz, Balua, Hamis Abdala na Duchu.
Usajili wa ndani tusajili hawa Kibabage, Mwamnyeto, Pascal msindo, Sopu na Sospeter Bajana.