mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Utamlaumu bure ndio wachezaji tulio nao. Yaani ndani matatizo na nje huoni wa kubadili match.Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible.
Mfano mechi ya marudiano na Al ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9??..
Mechi za ndani ugenini Kama ya ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita??
Sub zake ni za kukariri pili ni za hovyo ,,atamtoa chama na Fred ataingia onana na jobe..
Atamtoa kapombe anaingia Mwenda atatoka kanute anaingia Onana..
Ili kujenga Simba mpya toa Benchika..
Toa onana,Inonga,Fredy ,Jobe,Babacar na Saidoo
Pia Karabaka,Feruz,Balua,Hamis Abdala na Duchu..
Usajili wa ndani tusajili hawa..Kibabage,mwamnyeto,Pascal msindo,,Sopu na Sospeter Bajana
Huna akili. Jipu ni Mohammed Dewji. Fala wewe usie na akili.Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible.
Mfano mechi ya marudiano na Al ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9??..
Mechi za ndani ugenini Kama ya ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita??
Sub zake ni za kukariri pili ni za hovyo ,,atamtoa chama na Fred ataingia onana na jobe..
Atamtoa kapombe anaingia Mwenda atatoka kanute anaingia Onana..
Ili kujenga Simba mpya toa Benchika..
Toa onana,Inonga,Fredy ,Jobe,Babacar na Saidoo
Pia Karabaka,Feruz,Balua,Hamis Abdala na Duchu..
Usajili wa ndani tusajili hawa..Kibabage,mwamnyeto,Pascal msindo,,Sopu na Sospeter Bajana
Ndugu tangu saa tisa usiku usingizi umekata!!Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible.
Mfano mechi ya marudiano na Al ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9??..
Mechi za ndani ugenini Kama ya ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita??
Sub zake ni za kukariri pili ni za hovyo ,,atamtoa chama na Fred ataingia onana na jobe..
Atamtoa kapombe anaingia Mwenda atatoka kanute anaingia Onana..
Ili kujenga Simba mpya toa Benchika..
Toa onana,Inonga,Fredy ,Jobe,Babacar na Saidoo
Pia Karabaka,Feruz,Balua,Hamis Abdala na Duchu..
Usajili wa ndani tusajili hawa..Kibabage,mwamnyeto,Pascal msindo,,Sopu na Sospeter Bajana
Hahaaaaa, walisahau kujenga timu wakawa wanaimba Ubuntu BothaUbuntu Botho wanaruka na kukanyagana.
Mohamed dewji anqcheza namba ngapiHuna akili. Jipu ni Mohammed Dewji. Fala wewe usie na akili.
Mtafukuza makocha kila siku je wachezaji wenu boli linatembea?Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible.
Mfano mechi ya marudiano na Al ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9??..
Mechi za ndani ugenini Kama ya ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita??
Sub zake ni za kukariri pili ni za hovyo ,,atamtoa chama na Fred ataingia onana na jobe..
Atamtoa kapombe anaingia Mwenda atatoka kanute anaingia Onana..
Ili kujenga Simba mpya toa Benchika..
Toa onana,Inonga,Fredy ,Jobe,Babacar na Saidoo
Pia Karabaka,Feruz,Balua,Hamis Abdala na Duchu..
Usajili wa ndani tusajili hawa..Kibabage,mwamnyeto,Pascal msindo,,Sopu na Sospeter Bajana
Huyo Benchika ana kosa gani hapo maana usajili mwingi kaukuta na sub anazofanya unazodai za kukariri ni za wachezaji wa Simba hao hao wanaostahili kukaa kwenye benchi unataka wengine awatoe wapi?Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible.
Mfano mechi ya marudiano na Al ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9??..
Mechi za ndani ugenini Kama ya ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita??
Sub zake ni za kukariri pili ni za hovyo ,,atamtoa chama na Fred ataingia onana na jobe..
Atamtoa kapombe anaingia Mwenda atatoka kanute anaingia Onana..
Ili kujenga Simba mpya toa Benchika..
Toa onana,Inonga,Fredy ,Jobe,Babacar na Saidoo
Pia Karabaka,Feruz,Balua,Hamis Abdala na Duchu..
Usajili wa ndani tusajili hawa..Kibabage,mwamnyeto,Pascal msindo,,Sopu na Sospeter Bajana
Subra subra subraWakati Benchika anakuja Simba
Mlimpamba 'oooh kocha wa makombe' mkasema Mnakuja kufanya mapinduzi
Imekuaje tena..!?