Simba mnaukataa uwanja wa chamazi mtakwenda wapi? Uhuru umefungwa ngoja tuone mtakimbilia wapi!

Majok majok

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2023
Posts
783
Reaction score
2,057
Mashabiki wa mbumbumbu wanaupiga sana vita uwanja wa CHAMAZI kwamba auwapi matokeo wanayotaka kisa tu yanga anapata matokeo Kila akicheza pale, Sasa nawauliza uwanja wa uhuru umefungiwa mtakimbilia wapi?
Mtaenda Zanzibar au mikoani? Mwisho wa siku akuna ujanja mtachezea CHAMAZI mtake msitake kinachotakiwa ni kuboresha timu yenu, mkiambiwaga timu yenu ni kikundi Cha matapeli wanaopiga pesa za mhindi wa Bombay mnashupaza shingo zenu Sasa mnaanza kuokoteza visababu vya kijingajinga mnaleta hapa!

TUNAWASUBILIA mchague uwanja wa kutumia TUONE!
 
Niulize swali la kishamba...Mkapa hairuhusiwi kutumika?
 
Mechi ijayo kama Azam akiwa nyumbani mtakataa uwanja wa Chamanzi.
 
Ni watu wanapiga pesa za mhindi au mhindi ndo anawapiga pesa za wanasimba?
 
Wametuomba sisi Kawajense FC uwanja huu wa Kashauriri hapa Mlele.
 
Mashabiki wa mbumbumbu wanaupiga sana vita uwanja wa CHAMAZI kwamba auwapi matokeo wanayotaka kisa tu yanga anapata matokeo Kila akicheza pale, Sasa nawauliza uwanja wa uhuru umefungiwa mtakimbilia wapi?
Mtaenda Zanzibar au mikoani? Mwisho wa siku akuna ujanja mtachezea CHAMAZI mtake msitake kinachotakiwa ni kuboresha timu yenu, mkiambiwaga timu yenu ni kikundi Cha matapeli wanaopiga pesa za mhindi wa Bombay mnashupaza shingo zenu Sasa mnaanza kuokoteza visababu vya kijingajinga mnaleta hapa!

TUNAWASUBILIA mchague uwanja wa kutumia TUONE!
Karibuni jangwani🤪
 
Back
Top Bottom