Simba mpya mbele ya Yanga Bora

Simba mpya mbele ya Yanga Bora

Joined
Mar 12, 2016
Posts
73
Reaction score
33
Ni kweli Simba SC wamejitahidi kubadili kikosi, na angalau wachezaji wameonesha utofauti kulinganisha na kikosi kilichopita.

Lakini ukweli mchungu ni kwamba, hiki kikosi cha Simba SC hakiwezi kuifunga Yanga SC ambayo ni bora kwa sasa barani Afrika.

Tazama hata magoli yaliyokataliwa, ni magoli ya wazi kabisa. Hongera sana Yanga SC.

Wana Simba SC endeleeni kwanza kujiimarisha ili angalau msimu huu wa 2024/25 mfanye kitu mbele ya wana Yanga SC kwenye mechi zijazo za NBC.

Kando ya hayo, jumamosi Agosti 10,2024 tukutane CCM Kirumba kwenye 'Pamba Day' tukashuhudie wana TP Lindanda Pamba Jiji FC wakikipiga na Vitalo kutoka Burundi.
 
... Yanga SC ambayo ni bora kwa sasa barani Afrika.
Afrika !
1723175332872.png
 
Back
Top Bottom