Mimi ni shabiki kindakindaki wa simba binafsi toka huyu jamaa awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajili thadey lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana mkude.naomba kuwaailisha
Wewe ni "Kidimbwi"Hapanaa mkuuu mimi ni simbaa
Hajui Thadeo Langwa alivyoziba pengo la mkude hadi kupitiliza ,jamaa anakaba balaa akiwepo unakuwa na uhakikaWewe ni "Kidimbwi"
Wewe sio Simba.
Mchukueni tu huko Utopolo hatuhitaji wavuta bangi huku.Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba binafsi toka huyu jamaa awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajili Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana mkude.
Naomba kuwasilisha
Jamaa lina mapafu niko kijijini sijabahatika kuangalia mpira ila kila mtangazaji anavyotangaza umeenda mpira na huyo jamaa yupo.Hajui Thadeo Langwa alivyoziba pengo la mkude hadi kupitiliza ,jamaa anakaba balaa akiwepo unakuwa na uhakika
Indeed.Mkude aendelee kuvuta bangi kinondoni.
Sisi hatuna mda nae
Hana nidhamu acha akae nje kwanzaMimi ni shabiki kindakindaki wa Simba binafsi toka huyu jamaa awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajili Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana mkude.
Naomba kuwasilisha
Wewe ndiye uliyekuwa mpambe wake?!tatizo lake kamuomba bvarbrv "O"
hujui mpila wwMkude ..sikuwahi kuona umuhimu wake .na sijui kwa nini makocha waliopita walikuwa wanamtumia...ni mchezaji wa kawaida mwenye makosa mengi ya kuigharimu timu..