Kukaba tu mzeeMkude unamis kwa lipi
Mpira sio u padreMbona Simba kacheza vizur pasina Mkunde nidhamu ni msingi wa kila kitu
Lwanga wa Kenya ndo yupi mkuuUko sahihi mkuu harafu hawa wachezaji wanaotokea Kenya wanajituma sana.
Inaonekana wewe siyo mfuasi wa SimbaIla kitendo cha huyu kocha kukubali mzamiru na dilunga,inaonyesha kabisa kuna jambo halikuwa sawa hapo awali, unawaweka bench wachezaji wazuri halafu ukifungwa unalalamika, ila sass wakaze buti, ila inavyoonekana huyu kocha anasikiliza ushauri wa matola yaani mwenyeji wake vizuri, na ndio maana yuko makini na anavimbua vile vitu ambavyo kocha hawakuviona.
Yes! Ili ajifunze, malalamiko ya utovu wa nidhamu dhidi yake yalianza kitambo.
hizi game ndogo hatuna shida awe anapewa nafasi ila za kimataifa amwachie tu yule Mganda akiwashe moto wake sio wa kawaida.Mkude kwa game jana dhidi ya african lyon umedhirisha kuwa dimba la kati ni lako hakuna wa kukuzidi.
Huyo mganda anakuzwa mzee ni depe tupuu lile mkudeee babalaohizi game ndogo hatuna shida awe anapewa nafasi ila za kimataifa amwachie tu yule Mganda akiwashe moto wake sio wa kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona jipya misquare pasi, hakai kwenye eneo lake atasubiri sana kwa Lwangahizi game ndogo hatuna shida awe anapewa nafasi ila za kimataifa amwachie tu yule Mganda akiwashe moto wake sio wa kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio mkude mwenyewe ny@ko yako!Huyo mganda anakuzwa mzee ni depe tupuu lile mkudeee babalao
Una harufu ya utopolo, lengo lako ni kuchonganisha na kuleta taharuki, lakini umeshindwa!! Uto huwezi kutupangia timu!! Wachezaji wote ni wa Simba na yeyote anaweza kupangwa na kocha!!Mimi ni shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba binafsi toka huyu jamaa (jonas mkude aka nungunungu) awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajiliwa kiungo wa kimataifa kutoka uganda Engineer Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba dider gomez amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana wa mkude. #SIMBANGUVUMOJA
Naomba kuwasilisha
Aliyeanzisha uzi ni utopolo damu damu. Ndio maana alijishtukia mwanzo tu na kudai yeye ni Simba wakati ni uto wa kutupwa!! Lengo lake ni kupandikiza machafuko!! . Mbinu hiyo ya kishamba umeshindwa vibaya!Hivi watanzania tuna matatizo gani? Kwaninu hatuwazi nje ya box!! Sina uhakika kama mleta mada hii ni mshabiki wa simba kwakweli, simba tulilia sana kuongezewa kiungo mkabaji mwingine, tulikuwa na shida eneo hilo na tukapiga kelele mno. Tukaletewa GERSON FRAGA , bahati mbaya akapata majeraha , viongozi wakaona hapana tuendako tutapata tabu kumtegemea kiungo mmoja, akaletwa Tadeo lwanga!! Sasa huu upuuzi wa kuanza kumshusha au kutengeneza zengwe au kulinganisha kati ya mkude na lwanga unatoka wapi? Emu tuache ujinga , kama kweli wewe ni shabiki wa simba huezi shabikia huu upumbavu. Hawa ni wachezaji wetu , tunapaswa kuwaunga mkono na kufurahia vipaji vyao , lengo letu simba ni moja, kuchukua vikombe na kufika mbali katika champions league!! Ukiombea mmoja aumie unakuwa huitakii mema club, tuna mashindano mengi sana, tuwaombee uzima na tuwaunge mkono kwa wanavyojitolea kwa timy yetu, mkude hajacheza kwa muda kutokana na adhabu aliyopata, Mungu ni mwema amerejea hivyo kocha atakuwa na uwanja mpana wa kuchagua holding kati ya lwanga na mkude, hata kama mmoja akipata kadi nyekundu au figisu ziktokea presha inakuwa ndogo. Uzuri saivi kuna nyoni nae anacheza namba hiyo , kwahiyo ni jambo jema sana
Pengo lipi labda unalozungumzia? Lwanga amechezay mechi 5 halaf clean sheets 4. Unataka nini labdaMimi ni shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba binafsi toka huyu jamaa (jonas mkude aka nungunungu) awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajiliwa kiungo wa kimataifa kutoka uganda Engineer Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba dider gomez amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana wa mkude. #SIMBANGUVUMOJA
Naomba kuwasilisha
Nenda kawashauri utopolo wenzio achana simba!! Simba hatuna uchonganishi kwa wachezaji!! Una fiston , una sarpong, una farid, una nchimbi , emu katoe maoni waanze kufungaMimi ni shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba binafsi toka huyu jamaa (jonas mkude aka nungunungu) awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajiliwa kiungo wa kimataifa kutoka uganda Engineer Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba dider gomez amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana wa mkude. #SIMBANGUVUMOJA
Naomba kuwasilisha