Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Aliongezea mtaji kwenye duka lake pale kinondoni.Zile pesa mlizompa na yule mkongomani mvuta bangi zimemsaidia nini saivi anajuta
Aende YangaNajua bado mnaumia kwa wale wachezaji wenu kushirikiana nasi. Manula ni binadamu msimpe adhabu kubwa hivi.
Ni tamaa tu ambazo binadamu wanakuwa nazo lakini msiue kipaji chake cha mpira please.
Basi akauze duka lake na nasikia kuna mchina nae anataka akafungue hapo hapo jirani na Manula ,Aliongezea mtaji kwenye duka lake pale kinondoni.
Kungekuwa na ukweli si kesi ingeshafika TAKUKURU kwa kuoneshwa vithibitisho? Manula alitingisha kiberiti cha kutimka Simba ila wanachofanya uongozi wa Simba ni kumkomoa na kumuharibia. Haya yangefanyika kwa Yanga tungesikia kauli cha roho mbayaHivi ni kweli alikula pesa za yanga?
Siyo yeye peke yake kuna wale wacongo wawili mmoja walimsajili kisha wakamwacha kihuni,na yule kiungo konokonoHivi ni kweli alikula pesa za yanga?
Siyo yeye peke yake kuna wale wacongo wawili mmoja walimsajili kisha wakamwacha kihuni,na yule kiungo konokonoHivi ni kweli alikula pesa za yanga?
Kungekuwa na ukweli si kesi ingeshafika TAKUKURU kwa kuoneshwa vithibitisho? Manula alitingisha kiberiti cha kutimka Simba ila wanachofanya uongozi wa Simba ni kumkomoa na kumuharibia. Haya yangefanyika kwa Yanga tungesikia kauli cha roho mbaya
Lini kesi inafunguliwa TAKUKURU? viongozi wanacheza na akili zenu na nyie mnajaa hata hamtumii akili. Manula alikuwa majeruhi na hakucheza mechi kwa muda mrefu sana hivyo sio rahisi Yanga wategemea kumuhonga Manula aliyekaa nje ya uwanja muda mrefu mbele ya goli kipa Ayoub aliyeonesha kiwango kikubwa. Sema basi na viongozi wako na benchi lenu la ufundi imekula rushwa kwa kumpanga mchezaji asiyekuwa na match fitnessSiyo yeye peke yake kuna wale wacongo wawili mmoja walimsajili kisha wakamwacha kihuni,na yule kiungo konokono
Ukileta audio au video ya huyo kocha akiongea hayo maneno nipigwe ban. Shida nyie ndio wale watu wa kuchukua taarifa za uongo na uzushi mitandaoni bila kutumia akili. Si ilisambaa taarifa kuwa Ali Kamwe kufungiwa kisa kila mtu alipost kama vile ni jambo la ukweli kumbe uzushi. Njoo na video au audio ya huyo kocha wa Tabora, wala msimlishe maneno
Hebu legeza code, akili zishajaa mambo mengi..Siyo yeye peke yake kuna wale wacongo wawili mmoja walimsajili kisha wakamwacha kihuni,na yule kiungo konokono
Mkuu acha kusikiliza hao mashabiki oya oya wa vijiweni, karejee ile game halafu angalia perfomance ya hao wote aliowasema kama ilikuwa na mashaka! Ukweli mchungu ile game yanga walituoutsmart kila eneo, hamna goli alifungwa Manula lenye ukakasi na hata hicho anachokisema akiambiwa atoe ushahidi hana. Wabongo wanatafuta mtu wakumtoa kafara na hiyo kafara wakawa Baleke na ManulaHebu legeza code, akili zishajaa mambo mengi..
Kiungo konokono, ngoma au!?
Mkongo walimsajili na kumuacha kihuni.. Baleke.
Dogo.hili liache tu lipite sisi tunajua mengi tusimwaribie mwenzio. Kifupi asamehewe muanze mpanga matches zijazoAlikengeuka wapi? Ni uchawi kuwa na viongozi wasiokuwa na akili timamu! Mchezaji alikuwa majeruhi kwa muda mrefu anakuja kudaka game ambayo ni derby, anafungwa goli zote ambazo hakuna hata moja yenye ukakasi lakini anabebeshwa zigo la lawama as if peke ake ndio alicheza.
Kama shabiki wa Simba inaumiza sana kuona wanamuharibia mshkaji ugali wake kisa kutumia hisia na oya oya, mpira wa Tz utaendelea siku hawa wazee wajinga wajinga wakishaondoka. Basi ni mara mia wangemuacha aende hata kwingine
Unajua mengi wapi mnafiki tu na roho mbaya kama kawaida ya wabongo, mtu ungekuwa unajua mengi si ungeweka evidence hapa? Kitendo tu cha kuuanzisha huu uzi ni kumsagia kunguni kwa kuonesha alishiriki kweli kwenye rushwa sasa malizia uzi wako kwa kuweka ushahidi sio kuchafua tu mchezaji ili future yake ilipotee mazima. Kupangwa kwa Manula kwenye ile derby ilikuwa ni surprise kwa kila mmoja na pengine hata Yanga hawakutaraji kama angedaka yeye kwasababu Ayoub ndiye aliyekuwa na match fitness na muendelezo mzuri wa kiwango, hivyo kama kufikiria kuhongwa lazima angehongwa ambaye ana asilimia kubwa kucheza mechi tofauti na Manula ambaye hakuwahi kucheza mechi kwa kipindi kirefu sana kutokana na majeraha. Mashabiki wa bongo mnaendeshwa sana na propagandaDogo.hili liache tu lipite sisi tunajua mengi tusimwaribie mwenzio. Kifupi asamehewe muanze mpanga matches zijazo
Na mpango mwingine ulikuwa kuwa timu ya kwanza kuleta ubingwa wa Afrika Tanzania, saivi mpo hatua ya robo fainali na mtacheza na Uyole CombineMliambiwa fanyeni usajili kwakua Yanga wako vizuri mkawa mna puuza.
Sasa mtaendelea kutandikwa na Yanga mpaka mshike adabu, mta tafuta visingizio mpaka vita kwisha.
Mpango uliopo ni kuwafunga Simba mara 10 mfulululizo.