Simba msijidanganye

Mali za Simba ndiyo hyo 51% na taarifa ni kwamba Simba imebusti sana biashara za Mo kutokana na matangazo kupitia Simba Sc
Nje ya mali, wana Simba inatakiwa mnunue hizo hisa za 50%.
Nasikia hisa moja ni shs laki nne. Kazi ipo
 
Shida ya utopolo mnataka Simba tuanze kutembeza Bakuli kama nyie sema Tumeshtukaa mzee ndo maana Kigwangala jinga mwenzio kaambiwa afunge Domoo...[emoji16][emoji16]
Kwenye hiyo hisa ya 51% ya wanachama we umeweka sh ngapi hadi umlalamikie Mo?yaani kapuku ambaye anatembea pum..bu zake kutoka tabata hadi ubungo naye anahoji bil 20 za mo.

Hizi akili zenu za kibwege sana kama za mzee kolomoni ,anazuia mo asiendeshe timu wakati yeye hata nauli ya mchezaji moja kwenda uwanjani hawezi.

Timu inalipa wachezaji ,inachujua makombe ,usajili mzuri unafanya ,viwanja viwili vya michezo vimejengwa,halafu mkiambiwa weekeni na nye hiyo 51 yeye aweke 49% uwiano uende sawa mnalalama ,kama siyo mnataka aweke halafu mmfukuze ili mgawane hela ni nini ,mkuu akili zako za kuvukia barabara hata bata anakushinda
 
Kama anaweza kujenga uwanja na kutumia "eti" billion 3 kuendesha timu kwa mwaka, ugumu wa kufuata mkataba unatoka wapi?
Kuna kitu kipo gizani.
 
Kama anaweza kujenga uwanja na kutumia "eti" billion 3 kuendesha timu kwa mwaka, ugumu wa kufuata mkataba unatoka wapi?
Kuna kitu kipo gizani.
Mnaoumia ni nye utopolo wahusika wenyewe hawana wasiwasi na timu yao
 
Mnaoumia ni nye utopolo wahusika wenyewe hawana wasiwasi na timu yao
Mbumbumbu wanajua nini hadi wa react?
For your information, Hamisi hayuko peke yake kwenye hilo.
 
Mbumbumbu wanajua nini hadi wa react?
For your information, Hamisi hayuko peke yake kwenye hilo.
Mnatamani ila haitotokea na hawezi fanya lolote ishapita hilo kama mlikuwa mnategemea hapo
 
Mbumbumbu wanajua nini hadi wa react?
For your information, Hamisi hayuko peke yake kwenye hilo.
Mbona wau povu linawatoka? Mo ameuliza, hivi kuna mtu mwenye akili anayedhani nakosa sh. bilioni ishirini?
 
Ko ulitaka aweke hela asipate faida, kwani Simba saizi haifaidiki na uwepo wa MO.
Biashara ya hisa uwezi ukaruhusu mtu aje aweke hisa wakati kampuni yako haina hata uhakiki wa kimahesabu kwa zaidi ya miaka mitatu, afu imejaa madeni ya kutosha, anachokifanya MO saizi ni kuisaidia kampuni ya Simba kubalance hesabu zake ili aweze kuwekeza. Kampuni ya simba ilikua haina hadhi ya kuruhusu kuuza hisa zake kwenye kampuni nyingine kwa sababu matumizi yake yalikua hayakaguliwi na bado inadaiwa
 
Sasa Simba ikiwa ni Mali ya MO kuna shida gani? Kwani Man city haikua Mali ya wanachama mbona saizi ni Mali ya watu na mashabiki wake wapo vile vile.
 
Shida ya mashabiki maandazi wengi huwa hawafuatilii vyombo vya habari. Kabla ya Simba day Mo alitamka hadharani kupitia WASAFI FM kuwa uwanja kaujenga na ameawapa Simba bure kabisa na kila mwaka anatoa billion 3 kwa ajili ya uendeshaji wa Simba na hiyo hatadai na wala sio sehemu ya billion 20 ya uwekezaji. Na uwekezaji utakamilika ndani ya hii miezi 3 ijayo ndipo ataweka hizo billion 20. Jamani kama hamkusikiliza hicho kipindi nendeni kwanza youtube mkamsikilize halafu ndio mje kutoa maoni yenu huku.

Ila wabongo nuksi sio waheshimiwa wala walalalahoi wenye nafuu wote wale wale full kuzusha uongo kuwa MO atajimilikisha Simba. Lakini hata akijimilikisha Simba shida ipo wapi kama uwezo wa kuihudumia anao. Kama hamtaki ajimilikishe si mlete nyie hizo billion 20 mlizopata baada ya kuuza mpunga mziweke kwenye akaunti ya Simba halafu mumwambie MO afungashe virago kwa sababu nyie mmeshatia mzigo kwenye akaunti ya Simba. Acheni bana hizo mkiambiwa tu muisafirishe timu week end hii kwenda hapo Morogoro ikacheze na Mtibwa hamuwezi hata gharama za kukodisha basi halafu kelele nyingi. Mpira siku hizi ni pesa sio bla bla za kukopa piki piki au kuuza mpunga.
 
Ila mashabiki wa simba kuna siku inakuja mtajua kwamba hamjui.

Mshafikiria itakuaje siku Mo akiamua kuondoka Kwa hiyari yake au kwa lazima atawaacha vip hapo msimbazi?

Faida ambayo kama klabu mtakua nayo baada ya Mo kuweka hzo billion 20 ni assurance ya klabu kujiendesha yenyew ata bila Mo.

Sas hvi mnafurahia hzo billion 3 na kulipa mishahara ya wachezaji ila mjue huo n msaada tu na msaada wakati wowote unaweza kusitishwa.

Yaliyotukuta yanga kwa Manji ingekua funzo kubwa sana kwenu na mngedai kwa nguvu moja uwekezaji ukamilike haraka iwezekanavyo ili klabu ijiendeshe rasmi, hii misaada mnayofurahia sas hvi ipo siku itawarudisha mlipotoka, Mo aache ubabaishaje mim nimemshangaa jinsi anakua msumbufu kukamilisha uwekezaje wake kwa maslahi mapana ya klabu yenu.
 
Kwa nilivyosoma kwa aliyekuwa mkurugenzi wa wanachama simba, siyo kuwa mo ndio hataki kuweka izo 20B bali kuna mambo hayajakamilika kuweka iyo ivyo simba ikikamilisha mambo yataenda sawa.
 
Hapa ndo wanasimba mnatakiwa mpasimamie haswa hayo mambo yakamilike muachane na mambo ya msaada msaada. Japo mim n yanga ila tunahitaji taasisi imara ndani ya simba na yanga kwa maendeleo ya Mpira wa taiga letu.

Haya mambo ya kupewa pewa misaada na hawa wahindi tunazunguka kwenye mzunguko uleule miaka yote muhindi akiondoka klabu inarudi hatua kumi nyuma.

Kama tatzo lipo upande wa simba mashabiki inatakiwa muimize viongozi hayo mambo yakamilike na kama n upande wa Mo pia aweke mkwanja mambo yaishe.

Klabu zijiendeshe zenyew ziachane na mambo ya mtu mmoja bila msaada wake klabu haiendi
Kwa nilivyosoma kwa aliyekuwa mkurugenzi wa wanachama simba, siyo kuwa mo ndio hataki kuweka izo 20B bali kuna mambo hayajakamilika kuweka iyo ivyo simba ikikamilisha mambo yataenda sawa.
 
Mnatamani ila haitotokea na hawezi fanya lolote ishapita hilo kama mlikuwa mnategemea hapo
20B mnaumizana sana. Subirini za Wananchi. Asilimia 20 tu, zinamaliza mgogoro wa Simba na chenji inabaki
 
Wanazo hata asilimi 1 sasaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20B mnaumizana sana. Subirini za Wananchi. Asilimia 20 tu, zinamaliza mgogoro wa Simba na chenji inabaki
 
Wanazo hata asilimi 1 sasaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiongozi tulia tuliii!

Makosa yote yaliyofanyika Mikia, yanasahihishwa na Waanachi.

Thamani ya Simba ni Billion 20. Subirini mje muone za Yanga. Ndiyo mtajua mmepigwa na Kigwangala yupo sahihi.
 
Ukweli Mchungu.

Simba haiwezi kujiendesha , na ndo silaha ya Muhindi ilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…