Simba msijisahaulishe mlifungwa na Azam 1

wakusoma

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
1,084
Reaction score
1,061
Wapenzi Wa simba ni vizuri mkawa na kumbukumbu kuwa juzi mlifungwa na azam goli 1.

Itoshe tu kusema bao 1 la nguruwe linatoa watoto 12.
 
huu ni ushamba uliotukuka!

sasa 4g ndio nini ikiwa hanjawa mabingwa wa kombe ambalo mmekuwa mkijinasibu kuchukua..

Ni ushamba waa kiwango cha phd kumcheka yanga kuwa wamekosa ubingwa wa mapinduzi Cup ikiwa msimu uliopita amebeba VPL na wewe hukumbuki hata mara ya mwisho klabu yako imetwaa taji lolote.
 
Cha nguruwe, watoto 12. Yaani bonge la bao! Unaweza kupiga 4 ikawa povu tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpigwa vinne mara mbili ndani ya siku 4 ni hatari sana kwa kueneza magonjwa yasiyo na tiba.
Tunaomba wananchi wakimuona wajiepushe naye....
Imetolewa na serikali ya nchi yangu
 
huu ni ushamba uliotukuka!

sasa 4g ndio nini ikiwa hanjawa mabingwa wa kombe ambalo mmekuwa mkijinasibu kuchukua..

Ni ushamba waa kiwango cha phd kumcheka yanga kuwa wamekosa ubingwa wa mapinduzi Cup ikiwa msimu uliopita amebeba VPL na wewe hukumbuki hata mara ya mwisho klabu yako imetwaa taji lolote.
4G maana yake ni mwanamke anayeridhika baada ya kupigwa vinne tu. Ameshakuwa sugu
 
Unazungumzia Mwanamke au Mwanaume ....

maana nashindwa kuelewa ni nani Mwanamke na yupi ni Mwanaume ...kati ya ''Bingwa wa kihiostoria wa Ligi kuu Tanzania Bara'' na ''Bingwa msindikizaji''
 
Tunaongelea aliyepigwa 4G mara mbili. Na asipojipanga vizuri kwenye ligi atapigwa tena 4G.
 
Unazungumzia Mwanamke au Mwanaume ....

maana nashindwa kuelewa ni nani Mwanamke na yupi ni Mwanaume ...kati ya ''Bingwa wa kihiostoria wa Ligi kuu Tanzania Bara'' na ''Bingwa msindikizaji''
Mke wa Mnyama mkali anafahamika mbona.
Huwa haridhiki mpaka apigwe vitano, vinne vikipungua vitatu viwili ananuna...
 
Unaonekana umeanza juzi kuishabikia timu yako!

hebu wafuate mashabiki wenzako wa MIKIA FC inbox then uwaulize rekodi za ''Bingwa wa kishistoria wa tanzania bara'' dhidi yenu zikoje....

Kama wakishindwa kukupa ukweli....rudi hapauombe nikupe rekodi zangu za 'kiumeni' dhidi yako.....

sio kazi rahisi kutia mimba za ligi mara 26....Hii inaonyesha ni jinsi gani "dume la mbegu lina nguvu imara za kiume''.
 
Bila shaka umenisahau uliza wenzako ambao ni wadau kweli kweli watakukumbusha.
 
Back
Top Bottom