Iko kwenye uchunguzi mkali, lkn simba walipigwa kimoja chenye watoto 12.Hivi ishu Ben imeishia wapi?
4G'cha nguruwe' siipendi hii kauli.lol
huu ni ushamba uliotukuka!
4GCha nguruwe, watoto 12. Yaani bonge la bao! Unaweza kupiga 4 ikawa povu tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu YANGA walifungwa ngapi vile?Wapenzi Wa simba ni vizuri mkawa na kumbukumbu kuwa juzi mlifungwa na azam goli 1.
Itoshe tu kusema bao 1 la nguruwe linatoa watoto 12.
4G maana yake ni mwanamke anayeridhika baada ya kupigwa vinne tu. Ameshakuwa suguhuu ni ushamba uliotukuka!
sasa 4g ndio nini ikiwa hanjawa mabingwa wa kombe ambalo mmekuwa mkijinasibu kuchukua..
Ni ushamba waa kiwango cha phd kumcheka yanga kuwa wamekosa ubingwa wa mapinduzi Cup ikiwa msimu uliopita amebeba VPL na wewe hukumbuki hata mara ya mwisho klabu yako imetwaa taji lolote.
Kile cha Joseph Mapunda hata wale wa kinondoni wanatoka nduki wanakuachia na pesa yao.Afu YANGA walifungwa ngapi vile?
Unazungumzia Mwanamke au Mwanaume ....4G maana yake ni mwanamke anayeridhika baada ya kupigwa vinne tu. Ameshakuwa sugu
Unazungumzia Mwanamke au Mwanaume ....
maana nashindwa kuelewa ni nani Mwanamke na yupi ni Mwanaume ...kati ya ''Bingwa wa kihiostoria wa Ligi kuu Tanzania Bara'' na ''Bingwa msindikizaji''
Mke wa Mnyama mkali anafahamika mbona.Unazungumzia Mwanamke au Mwanaume ....
maana nashindwa kuelewa ni nani Mwanamke na yupi ni Mwanaume ...kati ya ''Bingwa wa kihiostoria wa Ligi kuu Tanzania Bara'' na ''Bingwa msindikizaji''
Ahsante kwa ufafanuzi mzuriTunaongelea aliyepigwa 4G mara mbili. Na asipojipanga vizuri kwenye ligi atapigwa tena 4G.
Mke wa Mnyama mkali anafahamika mbona.
Huwa haridhiki mpaka apigwe vitano, vinne vikipungua vitatu viwili ananuna...
Bila shaka umenisahau uliza wenzako ambao ni wadau kweli kweli watakukumbusha.
Unaonekana umeanza juzi kuishabikia timu yako!
hebu wafuate mashabiki wenzako wa MIKIA FC inbox then uwaulize rekodi za ''Bingwa wa kishistoria wa tanzania bara'' dhidi yenu zikoje....
Kama wakishindwa kukupa ukweli....rudi hapauombe nikupe rekodi zangu za 'kiumeni' dhidi yako.....
sio kazi rahisi kutia mimba za ligi mara 26....Hii inaonyesha ni jinsi gani "dume la mbegu lina nguvu imara za kiume''.