Kwenye rangi unaelewa maana yake.!Iko kwenye uchunguzi mkali, lkn simba walipigwa kimoja chenye watoto 12.
Ukichora mstari wa namba, kuna tofauti kubwa ya -4 na hasi -1
Nilifeli mkuuKwenye rangi unaelewa maana yake.!
Na wewe ulisoma hesabu ukafaulu?
Ongeza bidii...
Sawa mwana simba unaye rudi nyuma kwa kasiOngeza bidii...
4 ilikuwa warming ya ubingwa vodacom 2016-207.Afu YANGA walifungwa ngapi vile?
itabaki story Kombe lipo mbele alafu azam akatize haipoTunaongelea aliyepigwa 4G mara mbili. Na asipojipanga vizuri kwenye ligi atapigwa tena 4G.
itabaki story Kombe lipo mbele alafu azam akatize haipo