SINA JAMBO
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 338
- 270
kwa mara ya kwanza nimewekeana na mtani wangu kiasi cha shilingi laki moja endapo mtabeba ubingwa
ni kwel ligi ni ngumu lakini nawaamini hasa ukizingatia yanga katuacha point nyingi
tafadhalini simba chukueni ubingwa niipate hio laki maana ntaumia endapo mtakosa ubingwa na laki ikasepa
bora hata Azam mbebe ili turudishiane hela
kila la heri SIMBA katika mbio za ubingwa
I AM SINA JAMBO
Naona umefufuka baada ya kuivizia NkanaMkuu kwa kua Simba anaenda kua Bingwa wa TPL katika msimu huu wa 2018/19.. anza kuipangia matumizi mapema hiyo laki 1.
Halafu msimu huu umekimbia hapa Jukwaani mapema sana,na nilikwambia hutafika March Mwakani kabla hujakimbia kumbe imekuwa mapema sana tofauti na nilivyofikiri.Mkuu kwa kua Simba anaenda kua Bingwa wa TPL katika msimu huu wa 2018/19.. anza kuipangia matumizi mapema hiyo laki 1.