Simba msisahau kumwanzisha Pinpin Camara

Simba msisahau kumwanzisha Pinpin Camara

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Huyu anafungikaga vizuri sana, tunaombaa aanze ili Aziz Ki na Mzize wamjaribu kutokea mbali.

Mpaka sasa Yanga 6, Simba 0.
 
Where Is the Great thinkers.

Umekaa Ukatafakari ukaona huu ni Uzi wa kuwaandikia Watu, Mawaziri maprofesa Madaktari , wanasiasa wapo humu ndani.

Soma Uzi wako kisha rudia Kusoma Koment yangu ndipo Utajiona kiwango chako cha kufikiri.

Acheni Kuidhalilisha Jamii Forum
Acha Kujidhalilisha.
Mnatia aibu.

"Hakuna umasikini mbaya kama Umasikini wa Fikra"
.
Mwalimu JK Nyerere
 
Where Is the Great thinkers.

Umekaa Ukatafakari ukaona huu ni Uzi wa kuwaandikia Watu, Mawaziri maprofesa Madaktari , wanasiasa wapo humu ndani.

Acheni Kuidhalilisha Jamii Forum
Acha Kujidhalilisha.
Mnatia Aibu sana jamani.
aise mambo yanakwenda kasi sana huku kalemani amegeuka ombaomba ndege zimesahau uwanja wa chato kama unafaa kwa matumizi
 
Hii mechi Simba akifungwa, litatokea zogo moja matata sana aisee.
 
Mechi inachezwa tarehe 8 lakini tangu tarehe 3 watu wanajadili kitu hichohicho si kwenye media au mtaani.
 
Diarra ndio mwepesi kufungwa mashuti ya mbali angalia hata magoli yake aliyoruhusu msimu huu mengi ni mashuti ya mbali, ila kwa Camara mashuti ya mbali unaji danganya mengi sana kayapangua ukitoa yale aliyofungwa na Coastal Union sidhani kama kuna magoli mengine aliyofungwa kwa mashuti ya mbali, Camara ukitaka umfunge hakikisha umewapita mabeki wote kisha ubaki naye one on one hayo ndio magoli mengi aliyoruhusu huyu nyanda
 
Diarra ndio mwepesi kufungwa mashuti ya mbali angalia hata magoli yake aliyoruhusu msimu huu mengi ni mashuti ya mbali, ila kwa Camara mashuti ya mbali unaji danganya mengi sana kayapangua ukitoa yale aliyofungwa na Coastal Union sidhani kama kuna magoli mengine aliyofungwa kwa mashuti ya mbali, Camara ukitaka umfunge hakikisha umewapita mabeki wote kisha ubaki naye one on one hayo ndio magoli mengi aliyoruhusu huyo nyanda

Mkuu hakika.
Wewe unajua mpira
 
Back
Top Bottom