Simba msisikilize kelele za majirani zetu

EDO Kumwembe alisema Yanga wanaume Simba wavulana Mapovu yakawatoka...sitashangaa kuona Mkomola akivaa medali ya VPL kabla ya Kichuya
Kalamu yake aliona aitumie hivyo...hatuwezi kumzuia.
 
Kipindi kama hiki Yanga huwa hana masihara! Mjiandae tu kisaikolojia kwani ubingwa mmeshaukosa!
Namba zinasomeka vizuri kwa hiyo hakuna wa kuzibadilisha.
 


Kwa hiyo unawasihi Simba wasicheze mpira wa kisasa ila waende kwa wachawi wao (benchi la ufundi) au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…