Wacha wapigwe kama ngoma Losers Cup ndo tutaheshimiana.Kwa heshima ya nchi tuiombee Simba ishinde leo.
Haiwezekani timu iliyopo top ten ya vilabu bora Africa itolewe hatua hii ya awali tena kombe la Shirikisho.
Nasema no no no and never .
Acha wadundwe walibeza yanga kufika fainali sasa ngoja tuwaone wao watafika wapi, ata wakitoboa hapa bado mwisho wao ni makundi akuna mahala watatokea kwa kikosi chao icho!Kwa heshima ya nchi tuiombee Simba ishinde leo.
Haiwezekani timu iliyopo top ten ya vilabu bora Africa itolewe hatua hii ya awali tena kombe la Shirikisho.
Nasema no no no and never .
Itashinda inshallahKwa heshima ya nchi tuiombee Simba ishinde leo.
Haiwezekani timu iliyopo top ten ya vilabu bora Africa itolewe hatua hii ya awali tena kombe la Shirikisho.
Nasema no no no and never .