Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kama mlizoea n huko kwenu
Tunaomba msiwatenge kabisa wanasoka na wapenda soka kwa ukabila.. kama mlijitekenya na masaa 72 subirini mcheke na sioo kuanza kumtukana raisi wetu wa tff jamal malinzi na kumhusisha na ukagera
Napinga kwa garama zte na mkome mkome mkome.. kama tff watawachiia hili basii ipo siku mtajitukana wenyewe..
Viongoxi wa tff amkeni.. msikubali kudharaulika kiraisi hivi no... heshima lazima iwepo hata kama mtu anahisi kuonewa kuna njia mbadala wapendwa za kupeleka malalamiko
Hiyu bwana mkimuachia kirahisi ipo siku atakuja kuwatukana pale karume na familia zenu
Saa ya ukombozi kwenye soka n sasa not else
Kamati ya maadili nilikuja kuwapongeza humu kwa kumwadhibu msemaji wa yanga.. na sio sababu m n yanga no sikupenda soka lidharaulike vile
Yanga ipo itabaki kuwepo simba ipo itabaki kuwepo.... ni saa ya vilabu kujitathmini hizi posn wanakosea wapi?? kwanini waliochaguliwa wote wameondoka.. jibu n moja... wengi awako kisoka zaidi ya kujikuza na kutaka kuwaonyedha watu wao n zaidi ya club weeeee weeeee thibuthu