Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Huyu kocha wa Simba mimi sijawahi kumuelewa. Binafsi huwa sipendi watu wenye maneno mengi kuliko vitendo. Huyu Babu anaonekana kuwa na chuki wa wachezaji na kuwabagua.
Ndio maana ujio wake pale Simba umeua viwango vya wachezaji. Bocco ametoka kuwa goli zaidi ya 10 na kudorora, Sakho hakuwahi kuomarika chini ya Babu, Banda anazidi kuwa Nyakanyaka, kwa Phiri hapa sasa ndio basi tena, utadhani alimuibia mke, anatamani hata amfukuze kambini.
Viongozi Simba kama Mchezaji hatakiwi basi bora kumuacha aondoke zake.