Simba mtaweza kuvunja record iliyodumu miaka 42?

Kwa hiyo katika mechi mbili ambazo Simba amecheza na Nkana Zambia aggregate ni Nkana 8 - Simba 1.
 
Kunahaja ya simba kuvunja hii record ni mbovu sana kila lakheei chama langu
 
Hakuna timu inawwza ifunga simba goli tatu bila africa hii,,,namaanisha africa nzima hakuna timu inaweza ipiga simba bao tatu bila,lazima nao watafunga tu iwe isiwe,,halaf huyu kocha hajuag kupak bas anashambulia km yupo nyumbani vile
 
hahahahahahaha! kama nawaona vile mikia wanavyokwepa kamera pale airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…