Huyu ndiye hirizi ya timu pamoja na Bocco.Hamuwezi kuchangaya mlenda na nyama choma kwenye chungu kimoja.
Maana yake hatoi ushauri kwa kocha, kama siku zote hizo anatoa na unapuuzwa basi anjitenge kwa ushauri wake kupuuzwaMatola angekuwa mwenyewe kwenye benchi jana ile mechi angeshida sioni kosa lake
Huyu ndiye hirizi ya timu pamoja na Bocco.
Tokea Hans aondoke hatutafanikiwa kamwe labda Makonda arudi kwenye system awafanyizie tena Utopolo kama awamu ya 5 alivyofanya.
Kumbe bado ujapona, rudi Mil3mbe.....Wewe ndio punguwani, kwani Hans alivyokuwepo yanga walikuwa hawatufungi
Simba kuko shwari tatizo mashabiki wapuuzi tu, angekuwepo yule mzungu wa yanga angewaita mashabiki wa simba manyani na mbwa kubwekabweka tuYaani hata ligi yenyewe tu haijaanza, tayari kimeumana! πππ