Simba mwaweza letewa chekechea ya TP Mazembe

Simba mwaweza letewa chekechea ya TP Mazembe

logframe

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
4,242
Reaction score
5,543
[emoji3514] invité par Simba pour un match international de haut niveau le 19/09 ... Notons que le même 19/09 nous aurons match de VL1 . Nous avons un effectif de beaucoup des joueurs il y a toujour possibilité d envoyé même une deuxième équipe en Tanzanie pour le match amical international contre Simba [emoji847]
Screenshot_20210907-112504.jpg
 
Hiyo SASA ni dharau, sidhani kma hii habari ni ya ukweli, Kama kweli ni hivyo WASIJE , kuliko kucheza na kikosi chao cha pili Bora tucheze na prisons kudadadek, hatutaki dharau....
 
Sasa unajua Simba ana miaka mingapi hajaifunga iyo prison? Ushindi wa Simba kwa prison ni sare.
Kwani mi nimesemaje mkuu, umeonana nikiidharau prison au nimeipaisha kucheza na Simba kuliko kikosi cha pili cha Mazembe?
 
[emoji3514] invité par Simba pour un match international de haut niveau le 19/09 ... Notons que le même 19/09 nous aurons match de VL1 . Nous avons un effectif de beaucoup des joueurs il y a toujour possibilité d envoyé même une deuxième équipe en Tanzanie pour le match amical international contre Simba [emoji847]View attachment 1927606
Hii habari nimetafuta kwenye kurasa zao sijaona post inayolingana na hii.
 
[emoji3514] invité par Simba pour un match international de haut niveau le 19/09 ... Notons que le même 19/09 nous aurons match de VL1 . Nous avons un effectif de beaucoup des joueurs il y a toujour possibilité d envoyé même une deuxième équipe en Tanzanie pour le match amical international contre Simba [emoji847]View attachment 1927606
Mazembe limebaki jina tu
 
Subirini mletewe kikosi cha Pili
 
We inakuhusu nini Simba si udili na Wanaija wako utopolo mkubwa
 
Aliewaitaga nyani akukosea!! Minyani mwitu, mijitu mwitu,inabweka kama mbwa..yule mzungu aliona mbali sana..mijitu ya utopolo chura FC Ina shida sana,sijawahi kumuona mtu yuko utopolo akawa na akili timamu
Mkuu walaumu To Mazembe waliokataa kuleta timu yao siku yenu, kubalini kucheza na kikosi Chao Cha pili, Ile Mazembe yenyewe hawana muda wa kupoteza
 
wakujipooza mimi au wewe?,Simba ndo bingwa misimu minne back 2 back.Simba pre season hajafungwa hata mechi moja mpaka sasa,nyinyi mshatobolewa na Kapumbu.sasa hapo nani wa kujipooza kama sio wewe!
Kinachoongelewa ni kuwa mnacheza na mazembe B..
Ambapo ni bora hata kagera sugar
 
Back
Top Bottom